Walianza wenyeji wa Onesho hilo bendi ya MASHUJAA MUSICA ambao walitumia fursa hiyo kuzindua pia Album yao mpya na baada ya hapo kilichofuata ni Sebene la hatwaariii...
Nikiwa nimepozi na Washkaji zangu RAY na KANUMBA ambao ni wacheza Filamu mahiri nchini tukifuatilia Mavituz ya MASHUJAA Musica huku tukimsubiri mwanamuziki maarufu wa CONGO FERRE GOLLA nae apande jukwaani...
Nikiwa Backstage na mwanamuziki mdogo kuliko wote katika Bendi ya FERRE GOLLA aitwae SHIKITO kabla ya kupanda jukwaani ambako mie nilikuwa ndio MC wa shughuli hiyo kubwa jana usiku ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar...
No comments:
Post a Comment