Huyu bwana anaitwa DAN MAGNESS, anayetokea Covent Garden uko London, na ndie mtu anayeshikilia Rekodi ya kupiga mpira Danadana kwa muda mrefu zaidi Duniani kwa kutumia muda masaa 24 duuh! Sasa mie ninachojiuliza ni kwamba ina maana alikuwa hali chakula wala kujisaidia kwa muda wote huo wa masaa 24 jamani loooh! Izi rekodi zingine unaweza ukafa unajiona kwa kutaka sifa...
No comments:
Post a Comment