Sunday, October 3, 2010

Kwa hakika FERRE GOLLA ana wapenzi wengi sana na hapa ni wale wachache 2 waliopata bahati ya kwenda kumtunza akiwemo mrembo huyu aitwae HASHURA MACHENI ambaye ni mke wa Mfanyabiashara HUSSEIN TENDEGA MACHENI aliyekwenda kumkabidhi ua ikiwa ni ishara ya kumkubali daaah...

FERRE GOLLA alikuja na mwimbaji wake mdogo kiumri kuliko wote na kipenzi cha wengi aitwae SHIKITO <> ambaye alitia fora kwenye onyesho la jana usiku ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee Hall maeneo ya Upanga jijini Dar...

Wapiga vyombo wake kwakweli walionesha utofauti kwa kumwaga SEBENE la nguvu na kupagawisha watu ukumbini ipasavyo...

Dada huyu wa kibongo alijitoa muhanga kwa kwenda mbele na kujiachia ipasavyo Stejini lol...







No comments:

Website counter