Friday, October 1, 2010

KIPINDI CHANGU CHA WIKI ILIYOPITA TBC1 KILIVYOKUWA NA MAMBO YALIYOKUWEMO...


Hapa nafungua kipindi changu cha 'B&M LIVE' TBC1 kama kawa tayari kuanza makamuzi yangu...

Dj wangu ZAMPO alikuwa yupo kamili kama kawa kuporomosha mipini ya nguvu...

Mgeni wangu wa kwanza alikuwa ni huyu Chipukizi wa Bongo Flava anayekuja juu na kutamba na wimbo wake wa 'MAMA GALIMA WEE' ambaye tuliongea mengi na kikumbwa ni kwamba ana nyimbo kali zaidi ya Mamam Halima na wala hakudhani kati ya hizo Mama Halima ndio ungependwa zaidi ila ndio ivyo imetokea kwa wananchi kuutunuku na kama una swali lolote kumuhusu uyu Dogo basi we nitumie nami nitamuuliza momoja kwa moja ili aweze aweze kuwajibu kikamilifu, unakaribishwa...

No comments:

Website counter