Saturday, September 18, 2010

Uzinduzi wenyewe wa izo kampeni ulifanyika ndani ya uwanja wa Kiwanda cha sukari MTIBWA apo Mvomero Morogoro ila ni mbaliii looh...

Ile kufika 2, mimi na wanamuziki wa Twanga Pepeta Chalz Baba na mamaa Luiza Mbutu tulipata supu ya maana kwa chapati laiiniiiii...

Hapa nikiwa na Squad nzima ya watoa burudani katika kampeni izo, MARLAW, JUMA NATURE, na BUSHOKE tukila pouzz kabla ya kuingia kazini kumpigia debe mshkaji wetu AMOS MAKALLA...

Nikiwa Back stage huku Twanga Pepeta wakiwasha moto, ilikuwa Hatwaariiii nakwambia maana wanakijiji waliserebuka saanaaaa....

No comments:

Website counter