JUMA NATURE aka Kiroboto, akiwasha moto katika ufunguzi wa Kampeni izo kule Mvomero Morogoro...
Aaagh RUTA BUSHOKE nae hakuwa nyuma kuliendeleza Libeneke la burudani uwanjani apo...
Mzee wa Kiduku MARLAW alikuwepo kuwapigia honi yake ya 'Pii piiii' kwa wale ambao hawaelewani...
No comments:
Post a Comment