Saturday, September 18, 2010

SAFARI YANGU YA KWENDA KWENYE KAMPENI MOROGORO ILIVYOKUWA WIKI ILIYOPITA....


Mwenyeji wangu mbunge mtarajiwa Bw. AMOS MAKALLA alinipokea vizuri sanaa pamoja na Bendi nzima ya Twanga Pepeta ili kumpa kampani ya nguvu mshkaji wetu ambaye tunaishi nae vizuri mjini....
Apa ni nyumbani kwa Mbunge mtarajiwa Bw. Makallaa ambaye ana mlinzi Mbilikimo getini kwake, yaani jamaa ni mkali na mjanja sijapata kuona duuh...

Bw. MAKALLA akiwa na Mkurugenzi wa Twanga Pepeta ASHA BARAKA na Omary Baraka wakiteta jambo wakati wa kupata Chai baada ya Kampeni kwenye uwanja wa Mtibwa kule Mvomero Morogoro....

1 comment:

Anonymous said...

Huyo ni mlinzi kweli au mbwembwe za wakubwa?

Website counter