Wednesday, September 1, 2010

PITAPITA YANGU MTAANI JUZI....

Siku bendi ya EXTRA BONGO ya Kamarade ALLY CHOKI ilipozindua Style yao mpya iitwayo 'KIZIGO' katika ukumbi wa Rufita ulioko Sinza jijini Dar, na hapa ilikuwa wakati wa shoo rasmi ya kuitambulisha style mpya ya 'kizigo'...

Mkurugenzi wa Bendi iyo ALLY CHOKI akiongoza Squad nzima ya safu ya mbele ya waimbaji mahiri wa EXTRA BONGO...

Apa nikiwa nje ya KINYAIYA's PUB iliyoko Kinondoni nyuma ya Mango Garden na mteja wangu wa kuaminika aitwae Rodha...

Nje ya KINYAIYA'S PUB nikipoza Rejeta kidogo...

No comments:

Website counter