Wednesday, September 1, 2010

HAAA ETI USAIN BOLT ATAKA KUICHEZEA MAN UNITED DUUH....

Bingwa wa Dunia wa mbio za mita 100 ambaye pia ndie Binadamu mwenye mbio kuliko woote Duniani kwasasa USAIN BOLT kutoka Jamaica, amemtaka kocha wa timu ya Man United Sir ALEX FERGUSON kumpa majaribio katika timu hiyo na kama ataridhika nae basi ni ruksa kumsajili kwani alijigamba kwamba yeye anaipenda Man na pia anaimudu vizuri nafasi ya kiungo wa kushoto na hata full back ya kushoto pia!

Mwanariadha USAIN BOLT siku aliwatembelea mashetani wekundu wa Old Trafford kujionea mazoezi yao

No comments:

Website counter