Tuesday, September 21, 2010


Huyu kwangu mimi ndie mpiga Gitaa la Solo bora nchini, anaitwa SHAKASHIA kutoka Twanga Pepeta!

Safu ya mbele ikiwajibika jukwaani, kutoka kushoto ni CHALZ BABA, LUIZA MBUTU na Rapa MSAFIRI DIOUF ambaye sikuizi inasemekana ameacha kubwia ..........!




Wanenguaji nao walikuwa Hatwaariii ilipokuja zamu yao ya kumwaha 'UNO' stejini daah...

No comments:

Website counter