Wednesday, July 14, 2010

WIMBO HUU WA DK REMMY HUWA UNANISIKITISHAGA SANA NIKIUSIKILIZA...

1 comment:

Anonymous said...

benny mimi ni mpenzi sana wa blogu yako unafanya kazi nzuri sana yakutuabarisha yanayoendelea nyumbani hasa tulioko huku nje ya nchi nilikuwa naomba sana unisadie kuniwekea nyimbo za remmy ongala alizoimba baada ya kuokoka nyimbo za gospel nimekuwa nikiangaika kutafuta siku nyingi bila mafanikio naomba unisaidie kuweka ktk hii blogu yako niweze kuzikiliza

Website counter