Mwenyekiti wa TLP Mh AGUSTINE LYATONGA MREMA amesema pamoja na wadau wengi wa siasa hasa wapinzani nchini kutafsiri hatua yake ya kumwagia sifa Rais KIKWETE kule kwenye mkutano wa CCM Dodoma kama ni kujikomba, amesema hatishiki na shutuma izo na anakwenda kugombea Ubunge kule VUNJO na atashinda kwa kishindo na atakajaribu kutia mguu kule Vunjo basi nyasi zitakauka bila jua kwa jinsi atakavyomwaga vibaya kwenye uchaguzi mkuu ujao, mpoo apoooo...
No comments:
Post a Comment