VITUKO VYA 'SUMMER' APA ULAYA...
Yaani Ulaya bwana jua likishatoka 2 kama wakati huu basi wazungu huwa wanapagawa kwa kujianika ili nao wawe na ngozi za 'BROWN', Sasa liangalie ilo zee apo linavyomshangaa mzee mwenzake akiwa uchi baharia, na sijui kile nyuma yake ni nini hasa loooh...
1 comment:
makubwa yaani ndo joto limemvulisha nguo lakini kavaa pedi!!
Post a Comment