Tuesday, July 13, 2010

HATIMAYE PWEZA 'PAUL' NAE AKABIDHIWA KOMBE LA DUNIA KAMA SHUKRANI KWA UTABIRI WAKE SAHIHI...


Baada ya kutabiri matokeo ya mechi 9 za Kombe la dunia lililomalizika jana nchini africa kusini, Pweza maarufu duniani kutoka Ujerumani aitwae 'PAUL' nae amekabidhiwa zawadi ya kombe la dunia kama shukrani ya utabiri wake kwenda sawa! Sasa unaambia ivi sasa WAGANGA wa Bongo wanahaha Baharini kutafuta PWEZA ili mambo yao yaende vizuri na kwa urahisi, ama kweli kufa kufaana duuh...

1 comment:

Anonymous said...

yani Ben sio siri nakukubali sn na baadhi ya vituko vyako hapa ulipomention waganga wetu kuhaha yani mbavu zimetaka kuchomoka

Website counter