Wednesday, July 14, 2010

JE KWA MTAJI HUU TUTAFIKA KWELI JAMANI...

Hiki ni choo cha Shule ya msingi MKUNYA iliyomo wilaya ya Liwale mkoani LINDI! Sasa ebu fikiria shule hiyo imenzishwa miaka 35 iliyopita na mpaka sasa bado inatumia Choo ya aina hiyo, ni wapi tunakwenda jamani? na hapo ndio maana watu wengine wanakufuru kwa kusema ni 'Bora wakawe paka Ulaya kuliko binadamu africa' duuh...

1 comment:

Anonymous said...

hiyo ni kweli maana hapa hatuna faida kama tutaendelea kuwaweka watu wale wale familia zile zile katoka baba kaja mtoto kisha mjukuu anajifua naye aje na mjomba na ba mdogo wako nyuma mate yanawatoka kama fisi! nasisi tuko tu tunasema "NDIYO" kwao , miaka yote maendeleo kwa familia zao na watu wa karibu ili kufichiana! basi Ben tunafaida gani hapa si bora tukawe hao paka nchi za watu maana kuwa binadamu inakuwa ngumu wenyewe wamejazana na siku hizi hawataki hodi hodi makwao!!

Website counter