Baada ya 'Gundu' la muda mrefu la usafiri wa Reli ya kati kwenda mkoani KIGHOMA kutokana na kusombwa na mafuriko takribani miezi 6 iliyopita, Usafiri huo umeanza tena kama kawa ingawa bado matatizo yaleyale yanaendelea ya uchakavu wa mabehewa, usumbufu wa askari wa kikosi cha Reli na Engine kuwa mbovu na kusababisha treni kuzimika mara kwa mara kutokana na kuchemsha, mpoo apooo...
No comments:
Post a Comment