Mzee mwenye umri wa miaka 90 aitwae NANU RAM JOGI ambaye ni mkulima kutoka kijiji kimoja pembezoni mwa Mji wa New Delhi nchini INDIA amevunja rekodi ya kuzaa kwenye umri mkubwa zaidi Duniani. Babu huyo mpaka sasa ana wake 4 na ana mpango wa kuzaa mpaka atakapofikisha miaka 100 duuuh! Sasa mie najiuliza ivi huyu kikongwe bado 'Bendera' yake inapanda mlingotini au Fix 2...
No comments:
Post a Comment