Timu ya taifa ya wanawake TWIGA STARZ inatarajia kuondoka nchini Agosti mosi mwaka huu kwa ziara rasmi ya kimichezo nchini MAREKANI. safari ya timu ivi sasa 'imekwiva' kwani tayari vijana wameshapewa 'ULIMI' aka visa tayari kwa safari iyo ya siku 10 ambayo imedhaminiwa kwa kiasi kikubwa na Mfanyabiashara mashuhuri nchini mwanamama RAHMA EL HAROOUS! nampa hongera sana mwanamama huyo kwa kwenda kuwafungua macho wasichana hao ili wakaone 'mademu' wenzao wanavyocheza 'kiprofeshinale' zaidi...
No comments:
Post a Comment