PAUL 'the Octopus', yule pweza maarufu duniani kutoka nchini Ujerumani amezidi kupanda thamani baada ya uongozi wa eneo la kufugia wanyama la mjini Madrid nchini Hispania 'Madrid Zoo' kwenda nchini Ujerumani kwa ajili ya mazungumzo ya kumsajili Paul iwe kwa msimu au kumnunua kabsaa kwa bei yoyote watakayotaka wamiliki wa Pweza huyo ili akafanye kazi ya kutabiri kwa wacheza kamari maarufu wa mjini humo duuuh...
No comments:
Post a Comment