Jamani kwa hali hii hatutafika kokote na wala haya sio 'maisha bora kwa kila mtanzania' maana Drip yenyewe ni maji matupu bila dawa, kitanda cha kamba, Daktari hamna, sasa kwa mtaji huo si unakaribisha mauti bila kupenda? Alafu mgonjwa akifa apo mnaanza kusema ooh mungu amependa! sasa ni mungu amependa au Binadamu ndio kapenda mwenzie afe? Tanzania yetu bwana loooh...
No comments:
Post a Comment