Thursday, July 15, 2010

UNAWAKUMBUKA HAWA MADADA WAWILI....


Asikudanganye m2 bwana ukiisikia Bendi ya African Starz 'TWANGA PEPETA' basi hawa madada wawili ndio wanamuziki waanzilishi wa bendi hiyo Maarufu nchini! Kulia ni LUIZA NYONI MBUTU na kushoto ni JESCA CHARLES IAN, na hawa walishawahi kulala chumba kimoja na wanamuziki wa kiume enzi hizo za Ukata wa Bendi wakati inapiga bure pale LEADERZ CLUB KINONDONI na mpaka leo wapo ingawa JESCA ivi sasa anaishi DUBAI na mumewe mzungu lakini LUIZA yeye yupo na ndie KIONGOZI wa sasa wa BENDI hiyo kudadekii, una lolote la kuongeza juu yao?...

No comments:

Website counter