Thursday, July 8, 2010

PUYOL HOYEEEEEE....


Huyo mwenye nyekundu ni LIBERO mkongwe wa Timu ya Barcelona na Timu ya Taifa ya Hispani Carlos PUYOL aliyefunga goli pekee na la ushindi usiku wa kuamkia leo na kuipeleka Spain kwenye Fainali ya Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza katika Historia yake! Ila cha kuhudhunisha ni kutoa kauli yake ya kustaafu kuichezea Timu hiyo mara baada ya Fainali hizi za Africa ya Kusini na kuwapisha vijana, je nawauliza wadau mlioangalia mechi ya usiku huu na kuona kiwango cha Mkongwe huyo ngangari, mnaona bora apumzike au afikirie tena uamuzi wake? Maana kwa upande wangu naona aendelee tena kucheza japo kwa mwaka mmoja zaidi ili kuzidi kuwapa uzoefu wale kina Sergio Ramos waje kuziba nafasi yake uwanjani, au mnaonaje jama...

No comments:

Website counter