Saturday, July 10, 2010

HAYA MAAJABU YA DK MANYAUNYAU...


Huyo pichani ndio Dk MANYAUNYAU, bingwa wa Tiba asilia nchini aliyejizolea umaarufu mkubwa kwa uwezo wake wa kutibu na kuwafichua wachawi popote walipo! Hilo apo juu ni tukio la majuzi 2 alipokwenda kufukua Hirizi za wachawi hata kama zimefichwa majini duuh...

Jamaa matukio yake ya Tiba hujaza watu wengi wanaokuja kushuhudia maajabu yake...

Hapa akiwa kaulamba kama vile sio MGANGA wa Tiba silia! Ukimkuta kaulamba kama ivyo huwezi kumjua mpaka uambiwe na m2...

No comments:

Website counter