Thursday, July 8, 2010

LEO KATIKA MAAJABU YA DUNIA...


Huyu anaitwa PRANAMYA MENARIA kutoka India,ndie Binadamu anayeshikilia Rekodi ya kuwa na vidole vingi zaidi Duniani kwasasa, ana jumla ya Vidole 25, vya mikononi 12 na miguuni 13! Sasa kama wewe unavyo vidole vingi kumzidi uyu basi tuwasiliane na zawadi 'NONO' itatolewa kwa atakaejitokeza kudadekii...

No comments:

Website counter