www.kinyaiyas.blogspot.com:
Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Monday, July 26, 2010
NASEMA OLE WENU NYIE 'VIBOPA' KWENYE UCHAGUZI...
Ole wenu mnaotoa rushwa kwenye kampeni zenu za uchaguzi, mkikamatwa mnakatwa majina yenu hata kama umepita kwenye kura za maoni, kama hamuamini muulizeni Alhaj 'MAKAMBA' atawaambieni ilo azimio kudaadekiii...
No comments:
Post a Comment