Monday, July 26, 2010

WANAWAKE MNAWEZA BWANA, BASI 2 HAMJAAMUA...


Sikuzote huwa napenda vijana wanaojituma bila kuchagua kazi, kama alivyo Mwanadada huyu wa 'Chuma' aitwae MAGRETH ambaye ni hodari sana wa kulitumia 'KIJIKO' kinachotumika haswa kwenye kazi za ujenzi wa Barabara na anaaaminika kazini kwakwe na ni maarufu sana kazini kwake kwa kazi yake hii inayompatia riziki yale HALALI kabsaa, Hongera sana Dadangu kamuuaaaaaa 2 hamna ubishoo apo alaaah...

No comments:

Website counter