Monday, July 26, 2010

JUMA PONDAMALI ANENA....


Huyo umwonae 'kushoto' mwenye Joho ni JUMA PONDAMALI aka Mensar, mmoja kati ya makipa Bora kutokea nchini TANZANIA! Ivi majuzi kwa maoni yake binafsi amewataja makipa bora 5 ambao anaamini ndio bora kwasasa nchini wenye sifa zifuatazo: 1- kupiga kelele na kupanga mabeki wake 2- kuwa na Timing uwanjani 3- kusoma mchezo 4- kutotema mipira ovyo. Na katika orodha ya makipa wawe bora wenye sifa izo ni kama ifuatavyo JUMA KASEJA wa Simba, SHAABAN KADO wa Mtibwa, JACKSON CHOVE wa Jkt ruvu, SAID MOHAMED wa Majimaji na FARAJ KABAR wa Timu ya taifa ya vijana Ngorongoro! Upo apooo...

No comments:

Website counter