Thursday, July 8, 2010

KAZI NI KAZI, BORA MKONO UENDE KINYWANI BWANAA...


Hongera sana Dada yangu kwa kujituma kutafuta riziki bila kuchagua kazi, kuliko hao mademu wengine TUNAOWAJUA wanaojifanya kukesha masaluni kupaka rangi kucha na kutengeneza nywele na makeup nyiiingiiiii then Usiku wanaingia 'viwanja' kufanya yale mambo yetu yaleeee! ACHENI IZOO NYIEEE...

No comments:

Website counter