Thursday, July 8, 2010

APA VIPI NDOA ITAKUWEPO AU GERESHA...


Huyu unayemuona kushoto ni Prince WILLIAM, mrithi wa Ufalme na mtoto wa kwanza wa mtoto wa Malkia wa Uwingereza Prince CHARLES, na hapa anaonekana akiwa na mchumba wake KATE MIDDLETONE! Sasa watu wengi wanajiuliza kwenye iyo 'Kapo' yao ndoa itakuwepo apo maana inasemekana Bibi m2 yaani MALKIA ni mtata sanaa kumkubali mtu kibwegebwege 2...

No comments:

Website counter