Zile Bunduki zaidi ya 1,656 ambazo Jeshi la Police kanda maalum ya 'Daslam' ilizikamata juzi kwenye viwanja vya SABASABA kumbe zimebainika ni 'matoi' ya kuchezea watoto looh! Ikaongezwa na mmiliki wa matoi hayo aliyesema kwamba MATOI hayo ya Plastic kutoka China yaliyo na 'Vijirisasi' vyake vidogo vya plastic mfano wa shanga hayawezi kudhuru m2 wala mnyama tofauti na Polisi wa kanda maalum walivyokuwa wanashuku baada ya kuyaona yakiuzwa...
No comments:
Post a Comment