Kumradhi wadau wangu wa KINYAIYAS BLOG nimeibiwa Laptop yangu pamoja na Camera na ndio maana nimekaa kimya bila kuliendeleza libeneke lango apa Bloguni ila niko njiani najitahidi kununua tena ivyo vitu ili mambo yaendelee maana naona uwezekano wa kuvitafuta na kuvipata ni mdogo sana ingawa IMENIUMA SANAAA MPAKA SASA!
9 comments:
pole sana ben kwa kuibiwa.ndo maana nilikuwa naona kimya..tuko pamoja man
London hakuna wizi wa namna hiyo ina maana huna Insurance ya hivyo vitu?Nenda kaclaim ni kazi ndogo zaidi ya kuomba kumradhi.
pole mzee ni hapa UK au bongo.
kwani uk hakuna wezi tena wabongo ndio wana ongoza kuna demu mmoja ailiba simu akaficha kwenye chupi basi ikipigwa ikawa ina mtekenya mwenyewe akaitoa
mmh pole ben kwa kuibiwa naiman mungu atakurudishia kwa njia nyingine!
how long does it take to replace laptop?
Ben Pole kwa wizi uliokupata, but it has been very long without mavituz ya burudani mtandaoni. I hope utalishughulikia kwani wadau wa blog yako tunakumisso. Au ndio mpaka summer iishe. Kila la kheri kaka!
Mdau, USA
Pole sana Ben, iwe makini sana wakati wote. Tuko pamoja.
pole sana.sasa hivi wizi wa laptop umekuwa mkubwa na bongo
Post a Comment