Tuesday, July 6, 2010

IVI KWA MWENDO HUU TUTAFIKA LINI...


Sasa jamani kwa mtaji huu kuna mwanafunzi gani atafaulu apo kwenye hayo magogo? Maana wanafunzi hawana sare wala viatu na mwalimu mwenyewe anasikia njaa na kima cha mshahara ndio ivyoo tenaa duuh, Nasikitika sana kwa kweli ukizingatia kuna mifweza kibao inatumika vibaya serikalini na sio kwamba pesa hamna na ukitaka kujua pesa zipo peleka Proposal ya uhakika ya kuileta nchini timu ya REAL MADRID ya HISPANIA kama hujapewa cheque ya Bilioni 3 fasta bila kuulizwa mara mbili wee weeee...

No comments:

Website counter