Tuesday, July 6, 2010

POLICE MWINGINE AJIUA KISA...


Askari Polisi wa kike PC SUZANA amejiua jana kwa kujipiga risasi baada ya kuwekwa Mahabusu kwa kosa la kuupoteza msafara wa Rais KIKWETE uliokuwa mjini TARIME kuhudhuria kuapishwa kwa Askofu mpya wa kanisa la Anglikani Dayosisi ya TARIME Dr RAPHAEL MWITA! Mmmh jamani mi haya matukio sasa ya Polisi kujiua naona kama vile imekuwa Fashion eeeh...

No comments:

Website counter