Lile sakata la wazazi waafrica weusi wanaoishi nchini Uwingereza waliozaa mtoto 'mzungu' limechukua sura mpya baada ya wazazi hao wenye asili ya Nigeria kukubali kupima vinasaba vyao aka 'DNA' pamoja na mtoto huyo ili kujua sababu ya kuzaliwa mtoto mwenye rangi hiyo! Wazazi hao BENJAMINI na ANGELA wanasema kwamba kwenye Familia zao hakujawahi kutokea kituko cha namna hiyo na ndio maana wenyewe wanajishaangaa ingawa Benjamin anasema kwamba anamwamini mkeo na kwamba huyo ni mtoto wao halali ingawa lazma wapime ili kujua sababu ya kuzaliwa ivyo! Kazi ipo apo na kama kuna 'kitu' kimejificha kitajulikana 2...
www.kinyaiyas.blogspot.com: Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Saturday, July 24, 2010
ISHU YA WAFRIKA KUZAA 'MZUNGU'...
Lile sakata la wazazi waafrica weusi wanaoishi nchini Uwingereza waliozaa mtoto 'mzungu' limechukua sura mpya baada ya wazazi hao wenye asili ya Nigeria kukubali kupima vinasaba vyao aka 'DNA' pamoja na mtoto huyo ili kujua sababu ya kuzaliwa mtoto mwenye rangi hiyo! Wazazi hao BENJAMINI na ANGELA wanasema kwamba kwenye Familia zao hakujawahi kutokea kituko cha namna hiyo na ndio maana wenyewe wanajishaangaa ingawa Benjamin anasema kwamba anamwamini mkeo na kwamba huyo ni mtoto wao halali ingawa lazma wapime ili kujua sababu ya kuzaliwa ivyo! Kazi ipo apo na kama kuna 'kitu' kimejificha kitajulikana 2...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment