Saturday, July 24, 2010

BAADA YA KULAZIMISHWA SARE NA MADOGO WA 'NGORONGORO HEROES JUZI...'


Kocha wa YANGA kutoka Serbia bwana KOSTADIN PAPIC ameamua kubadili upepo wa mazoezi na kuyaelekeza rasmi kwenye pumzi na stamini baada ya juzi kupata aibu ya kutoka sare na Timu ya taifa ya vijana 'NGORONGORO HEROES'! wee Papic wewee nadhani huwajui mashabiki wa Yanga walivyo, sasa ngoja ligi ianze alafu timu ifanye madudu kama ya juzi huku ukiwa umeshateketeza 'Fweza' zao kwa kununua Maproo ambao inasemekana ni 'Bomu' kama walivyo kina 'JAMA MBA' mwaka jana haa haaa haaaaa lisemwalo lipo bwanaa...

1 comment:

Anonymous said...

Hi there

Looking forward to your next post

Website counter