Waziri wa afya wa Bongo Mh DAVID MWAKYUSA amesema jana kwamba kitendo cha wanasayansi wa Marekani kugundua dawa ya UKIMWI yenye uwezo wa kutibu kwa asilimia 90 inaleta matumaini ya Dunia kupata dawa kamili ya kutibu ugonjwa huo kwa asilimia 100! Sasa unaambiwa wabongo wengine wenye akili mbovu wameshaanza kusema kwamba kuanzia sasa watakuwa 'HURU'! sasa nauliza huru kivipi wananchi nyie? Kudadekii sasa wee kula pipi bila 'Ganda' uone na iyo dawa hutaipata asilani...
No comments:
Post a Comment