Thursday, July 15, 2010

WEE PWEZA 'PAUL ' WEWEEE....

Yaani huyu Pweza wa Ujerumani amewatafutia balaa wenzake apa duniani na balaa limeanza kwetu Bongo kwa waganga wa jadi kuwatafuta Pweza Baharini usiku na mchana ili mambo yao yaende fresh kwenye kazi zao...

1 comment:

Anonymous said...

we kijana mbona hajafafanua visuri iyo imetokea wapi toa maeleso ya kina

Website counter