Sunday, July 18, 2010

HATIMAYE PROF MWAIKUSA AZIKWA JIJINI DAR LEO...


Mke wa marehemu Proff MWAIKUSA, bi LOFEA MWAIKUSA na wanawe wakiuga kwa uchungu mwili wa mpendwa wao aliyeuwawa na majambazi wanaokisiwa kutumwa kufanya ivyo juzi. Marehemu amezikwa leo nyumbani kwake MBEZI SALASALA jijini Dar.

Hili ndilo gari la marehemu Proee MWAIKUSA ambalo mauti yalimkutia humo baada ya kuamriwa na majambazi hayo afungue mlango wa gari na yeye kukaidi agizo ilo ndipo majambazi hayo yalipomfyatulia risasi 2 za kwenye Taya na kufa hapohapo! Pichani Polisi wa upelelezi wakilifanyia uchunguzi wa kitaalamu gari hilo ili kupata vielelezo vya kuwasaidia kuyatafuta na kuyakata majambazi hayo.

No comments:

Website counter