Sunday, July 18, 2010

HENRY ASTAAFU KUICHEZEA TIMU YA TAIFA...


Nahodha wa Timu ya taifa ya UFARANSA THIERRY HENRY ameamua kustaafu kuichezea timu ya Taifa akiwa na umri wa miaka 33 sasa. Henry ambaye ivi karibuni amemwaga wino kuichezea timu ya NEW YORK RED BULLS ya nchini Marekani amesema hajamfata david Beckham nchini marekani bali ameamua kubadili upepo baada ya kuona timu yake ya zamani ya Barcelona ikimpuuza! Haa haaa uyu 'anko' hataki kukubaki uzee unamkaribia na kiwango kimeshuka daah...

No comments:

Website counter