Saturday, July 17, 2010

WATU WANA ' FWEDHA' BWANA ALAAAH...


Imefahamika leo hii kwamba ule mpira wa mwisho wa JABULANI uliotumika kuchezea mchezo wa Fainali ya Kombe la Dunia nchini Afrika Kusini kati ya Mabingwa SPAIN na HOLLAND huku kiungo ANDREAS INIESTA akiutumia kusimika bao pekee lililoipa ubingwa SPAIN umeuzwa kwa mtu tena mcheza kamari kwa thamani ya Dola elfu 50 cash kwenye mnada wa wazi ulioendeshwa na kampuni maarufu ya kuuza vitu na minada ya eBAY, imekaaje kwako iyoo...

No comments:

Website counter