Friday, July 23, 2010

BRITNEY KUTOA USHUHUDA KWA WANAE...


Mwanamuziki maarufu nchini Marekani BRITNEY SPEARS amewekea nadhiri moyoni mwaka kuwakataza watoto wake JAIDEN FEDERLINE na SEAN FEDERLINE wasifuate kabisaa tabia zake alizozifanya na anazoendelea kuzifanya ili wasije kuharibika kama yeye duuh! Yaani anakiri kabisa kwamba hata alipokuwa na Mimba ya watoto zake hao bado alikuwa akibwia Unga kama kawa ila kwasasa anaijutia Hali iyo na ndio maana anatamani watoto wake wakue ili awaambie maasi yake hayo na kuwakataza kumwiga kwa chochote! Ama kweli Ughaibuni kuna mambo looh...

No comments:

Website counter