Friday, July 23, 2010

FERGUSON AKUBALI 'VITU' VYA KIJANA WAKE ZIARANI...


Kocha wa MAN UNITED bwana ALEX FERGUSON aka 'babu' ameshangazwa na kiwango cha juu cha Winga wake mpya aliyemsajili kutoka club ya BORDEAUX ya Ufaransa msimu uliopita GABRIEL OBERTAN na kusema kwamba kuanzia sasa atamfikiria zaidi kinda huyu wa miaka 22 kuliko ANTONIO VALENCIA! Obatan jana alifunga bao pekee ya Man la ushindi dhidi ya PHILADELPHIA LINCOLN kwenye ziara yao ya mechi za kujipima nguvu kujianda na msimu huu wa Ligi kuu ya ENGLAND...

No comments:

Website counter