Rais BARAK OBAMA wa MAREKANI juzi aliuambia mkutano wa viongozi wa Africa uliomalizika juzi uko UGANDA kwamba atataifisha pesa zoote za viongozi mafisadi wa bara la Africa zilizoko kwenye akaunti zao zilizoko marekani! Kauli yake hiyo iliwaacha midomo wazi viongozi wengi waliokuwa kwenye mkutano huo ambao inasemekana nao wana akaunti za siri nchini Marekani! Safi sana OBAMA zuia pesa zote za hao mafisadi kudaadekii zitumie kujenga hata viwanda vya 'Pipi' uko kwako ili watu waendelee kupiga 'Box' kama kawa tupilia mbali maana wameshatufanya sie wananchi ndio mabwege wao Bravo Oba Oba OBAMAAAAA....
www.kinyaiyas.blogspot.com: Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Wednesday, July 28, 2010
BRAVO OBA OBA OBAA OBAMAAAAAAA....
Rais BARAK OBAMA wa MAREKANI juzi aliuambia mkutano wa viongozi wa Africa uliomalizika juzi uko UGANDA kwamba atataifisha pesa zoote za viongozi mafisadi wa bara la Africa zilizoko kwenye akaunti zao zilizoko marekani! Kauli yake hiyo iliwaacha midomo wazi viongozi wengi waliokuwa kwenye mkutano huo ambao inasemekana nao wana akaunti za siri nchini Marekani! Safi sana OBAMA zuia pesa zote za hao mafisadi kudaadekii zitumie kujenga hata viwanda vya 'Pipi' uko kwako ili watu waendelee kupiga 'Box' kama kawa tupilia mbali maana wameshatufanya sie wananchi ndio mabwege wao Bravo Oba Oba OBAMAAAAA....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment