Wednesday, July 28, 2010

MARADONA OUT NATIONAL TEAM....


Rais wa shirikisho la soka la ARGENTINA JULIO GRONDONA amemfukuza kazi aliyekuwa Kocha wa timu ya Taifa ya nchi hiyo bwana DIEGO MARADONA kwa kutohudhuria mkutano wao wa kujadili mkataba wake na matokeo yake Maradona kwenda kuhudhuria 'part' ya rafiki yake kipenzi Rais HUGO CHAVEZ wa Venezuela! Inaelezwa ivi sasa shirikisho hilo linatafuta Kocha wa muda wa kuiongoza timu hiyo katika mchezo wao wa kirafiki dhidi ya Ireland utakaofanyika Aug 11 mjini Dublin. Yaani huyu Maradona sijui kama ana akili timamu jamani, au sijui 'dope' limeshamkolea kichwani au vipi, itakuwaje Boss wako anakuita alafu we unaenda kwenye 'part' duuh...

No comments:

Website counter