Tuesday, June 8, 2010

Juzi kulikuwa na kamnuso kidogo nyumbani ambako tulialika ndugu jamaa na majirani kula na kunywa kidogo...

Nikiwa na ndugu, jamaa na marafiki tukila Monde kwa kwenda mbele...
Rafiki yangu Rupe na wife wake nao walikuwepo kuwakilisha...
Nikiwa na wageni tukibadilishana awazo na mipango mbalimbali ya mjini...
Wageni mbalimbali wakifurahia mnuso kwa sanaaa...

1 comment:

isaackin said...

big up sana ben unawajibika sana bwa mdogo,hivyohivyo endelea kukaza msuli,tuwekee mapicha mengi hasa ya hapo mtaani mkuu yanatukumbusha mbali wengine,msalimie lupe.isaac

Website counter