www.kinyaiyas.blogspot.com:
Kwa habari za Kijamii, Michezo na Burudani kwa wakati...
Tuesday, June 8, 2010
Mambo yaliyojiri Viwanjani weekend iliyopita...
Nikiwa na kocha wa zamani wa timu ya wekundu wa msimbazi Simba Sport Jamuhuri Kiwelu ndani ya viwanja vya Leaders Kinondoni... Dj mkongwe jijini Bonny Love akiwa na mdogo wake Dj Makay ndani ya Mzalendo ambko kila jumamosi wanateremsha mipini ya nguvu ya miondoko yote unayoijua wewe... Mwimbaji chalz Baba wa Twanga Pepeta akiwajibika jukwaani katika ukumbi wa Mango Garden Kinondoni juzi... Nikiwa na mmiliki wa bendi ya Twanga Pepeta Asha Baraka ndani ya Mango Garden Kino... Muosha huoswa, nikamdaka mwandishi wa magazeti ya udaku ya uwazi Mussa Mateja akiwa amezungukwa na vimwana katika namna ya malav dav looh....
No comments:
Post a Comment