Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwaatarifu ya kuwa Mama Aurelia Kinyaiya, amefariki dunia leo Jumamosi [June 11th, 2011] Memorial Hospital,Minneapolis Minnesota. Marehemu ni mama mzazi wa Elifaa na David Kinyaiya waishio Minnesota, na Alekunda Mmari aishiye Washington D.C.
Maandalizi ya kusafirisha mwili yanaendelea nyumbani kwa Elifaa & David Kinyaiya 10716 Scott Avenue N,Brooklyn Park,MN 555443.
Makadirio ya gharama za kusafirisha mwili pamoja na watakaosindikiza kwenda Tanzania kwa ajili ya mazishi ni $25,000. Kama ilivyo desturi yetu, tunaombwa kuungana na familia ya Kinyaiya katika kukamilisha mipango ya kusafirisha mwili.
Unaweza kutuma mchango wako kwa njia zifuatazo;
1: WellsFargo Bank Wire transfer: Route # 530000509, Ac # 3165545314, Jina: Elifaa Kinyaiya au David Kinyaiya.
2.Western Union & MoneyGram : Zote zitumwe kwa Neville Lema 612-964-4218.
3.Mail Hundi (cheki) kwa: Elifaa Kinyaiya, anuani :10716 Scott Avenue N,Brooklyn Park,MN 555443.
Unaweza kuwasiliana na wafiwa kwa namba zifuatazo:
Elifaa:641-583-1189 ,
David 952-215-1116,
Alekunda 202-375-3847.
Lilian Maina 612-669-2782
Kwa taarifa zaidi, wasiliana na;
Honest Tesha:651-343-3209,
Riwa 952-457-0599,
Mollel 651-334-0163,
Dennis Shengena 952-992-9489,
Erick Lemunge 651-398-1861.
Flaviana Tesha 651 329 4521
Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa. Jina la Bwana Libarikiwe.
Akhsante,
1 comment:
Pole sana Ben. R.I.P. mama. Nawaombea Mungu awape moyo wa uvumilivu katika wakati huu mgumu. Poleni sana.
Post a Comment