Monday, June 13, 2011

SAMAHANI WADAU KWA KUKAA 'KIMYA' APA BLOGUNI...

NDUGU ZANGU WAPENZI WA BLOG HII YA 'KINYAIYA', MSIONE KIMYA NI KWAMBA LAPTOP YANGU ILIKUWA NA MATATIZO FLANI IVI NA MIE MAMBO YA KUAZIMA AZIMA VITU VYA WATU SIJAZOEA ILA SASA IMESHAKUWA TAYARI NA KESHO JUMATATU NAENDA KUICHUKUA NA 'LIBENEKE' LA BLOGU YETU HII LITAENDELEA KWA KASI SAAANA MAANA NINA 'MATERIAL' MENGI SANAAA MKONONI INGAWA KWASASA NINA MSIBA MKUBWA KWANI NIMEFIWA NA MAMA YANGU MKUBWA NILIYEKUWA NIKIMPENDA SANA ILA MWENYEZI MUNGU AMEMPENDA ZAIDI, ASANTENI...

3 comments:

Anonymous said...

Pole sana kinyaiya na mungu awape nguvu kwa kipindi hiki kigumu...mungu amlaze mama yako mkubwa mahala pema peponi amina

Website counter