Tuesday, April 12, 2011

IJUE FILAMU ILIYOTENGENEZWA KWA 'GHARAMA' KUBWA ZAIDI DUNIANI...


Kwa taarifa yako hii ni Filamu ya 'AVATAR' ambayo ndio Filamu iliyotengenezwa kwa bei 'MBAYA' zaidi duniani mpaka sasa! Filamu hii ya 'AVATAR' imetengenezwa kwa gharama ya Dola millioni 500 sawa na Bilioni 740 za kibongo kutokana na vifaa vilivyotumika kuitengeneza Filamu hiyo na mfano ni 'Camera' zilizotumika kushoot Filamu hiyo zilitengenezwa maalum kwa ajili ya Filamu hiyo tuu! JAMES CAMEROON ndie alikuwa muongozaji wa Filamu hiyo iliyoshirikisha nyota kama vile SAM WORTHNGTON, ZOE SALDANA, STEOHEN LANG, MICHELLE RODRIGUEZ, JOEL MOORE, GIOVANNI RIBISI na SIGOURNEY WEAVER.

2 comments:

Anonymous said...

movie ni nzuri na inatisha sana. aisee niliiona jamani hadi utajiuliza what is this. lol..!!!!!! people are creative tusiigeze mapenzi tu tujaribu na upande mwingine aisee kama huyo mwanadada sijui alikuw amevaa nini utadhani mwili wake mwembaaa mrefuu, mikono mirefuuuuuuuuu atadhani mwili wake kumbe lol.......... i like the movie sana

Anonymous said...

Tatizo letu watu hawako creative, ndio maana hata movie za bongo ukiona moja basi umeona zote!!! Halafu hiyo fani ina darasa mwanangu ukiingia tu kichwakichwa matokeo yake unayaona!!!Nchi za Ulaya hata yule anayemwagia maji ya maua barabarani,lazima aende darasani na kupata cheti chake cha hiyo shughuli!!!Ndio maana ubunifu unakwama Bongo sababu ya ukosefu wa elimu ya fani!!!!!

Website counter