tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post7121493471296747285..comments2023-06-13T12:42:23.035+03:00Comments on KINYAIYA'S ENTERTAINMENT:: IJUE FILAMU ILIYOTENGENEZWA KWA 'GHARAMA' KUBWA ZAIDI DUNIANI...KINYAIYAS ENTERTAINMENThttp://www.blogger.com/profile/08930260399216893581noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-40926662233747068182011-04-15T00:49:26.698+03:002011-04-15T00:49:26.698+03:00Tatizo letu watu hawako creative, ndio maana hata ...Tatizo letu watu hawako creative, ndio maana hata movie za bongo ukiona moja basi umeona zote!!! Halafu hiyo fani ina darasa mwanangu ukiingia tu kichwakichwa matokeo yake unayaona!!!Nchi za Ulaya hata yule anayemwagia maji ya maua barabarani,lazima aende darasani na kupata cheti chake cha hiyo shughuli!!!Ndio maana ubunifu unakwama Bongo sababu ya ukosefu wa elimu ya fani!!!!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-8712705880561761798.post-68219888488627177242011-04-13T10:33:30.868+03:002011-04-13T10:33:30.868+03:00movie ni nzuri na inatisha sana. aisee niliiona ja...movie ni nzuri na inatisha sana. aisee niliiona jamani hadi utajiuliza what is this. lol..!!!!!! people are creative tusiigeze mapenzi tu tujaribu na upande mwingine aisee kama huyo mwanadada sijui alikuw amevaa nini utadhani mwili wake mwembaaa mrefuu, mikono mirefuuuuuuuuu atadhani mwili wake kumbe lol.......... i like the movie sanaAnonymousnoreply@blogger.com